TADB yatoa gawio la shilingi Bilioni 8.38 kwa serikali, sawa na ongezeko la Asilimia 50 ukilinganisha na Bilioni 5.58 kwa mwaka ulioishia Desemba 2024.
Dar es Salaam. Ijumaa, Mei 15, 2026. Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa gawio la shilingi Bilioni 8.38 kwa se…